Kwa kila career kunakuwanga na client confidentiality sio medical field pekee, so kila hustle ukifanya, maintain that confidentiality. Hata kama ni ya kuuza viatu na kuna specific customer unajua ana vidole sita za mguu hiyo ni siri yenu. Building trust kwa biz ni kitu muhimu sana
0
0
0