Kwa kina biashara, ni hustle after hustle 😅. Some days ni wins, some days ni lessons — but tunabaki kuspin tu, consistency ndio key!