Kwa kueleza watu importance ya kisave na kukuwa na business pale kwa mtaa Nitashow watu wa mtaa design mesh inahelp kulink up watu na mentors wa kuhelp kuimprove biz zao Ntahold rallys kitty kubring watu pamoja Ili kueleza a juu ya mesh na advantages zake
Mesh imenijenga vikuu so nta try kueleza wasee huku nikiwapea experience yangu na mesh kuwa example
0
0
0