
KWA majina naitwa Ishmael murihe mwanje natoka sehemu ya mombasa county mi nilisomea electrical engineering katika chuo kikuu cha mombasa technical training institute na nilipomaliza masomo yangu mwaka wa 2019 december ndio nikaamua kuanzisha biashara yangu mwaka wa 2020 ili niweze kujisaidia na pia kusaidia vijana wenzangu kama mimi wenye ujuzi lakini hawajapata nafasi za kazi na wako tu mtaani.so sisi hutoa huduma za full house wiring, maintenance,tv mounting,dish installation,bore hole drilling na jukumu langu ni lakutafuta kazi then huwa nawaita site tunafanya kazi kwa pamoja bila ya kujali mimi ni boss kwa sababu huwa nataka kazi ifanyike kulingana na matazimio ya mteja na najivunia sana sana kwa sababu nimeweza kusaidia vijana wengi kwa mtaaa