
Kwa mjengo we don't use wheelbarrows direct from the hardware. You have to pass by the welders place ziongezwe reinforcements na zitolewe bearings kwa miguu. Ukitaka a good long lasting wheelbarrow enda kwa msee wa juakali. Atakuekea hapo kwa supports D10 ama D12, Halafu ream yake pia plate. Frame itakua RHS strong na plate pia ni Ile pipa ya oil, nowadays unapata plates ni fake na frame yake mkiingia mjengo in 2 days already broken.

0
0
0