
Kwa Mpendwa : Alpha Cyber Service Ld. Pokea Salamu kutoka kwangu. Natumai upo mzima pia. Nachukua fursa hii kusema kuwa nina furaha kubwa sana kuanza biashara hii ya Cyber. Nlianza Mwaka uliopita Januari na nmeona matokeo mazuri sana.
Nlianza kwa sababu ya ugumu wa maisha. Hali inavyoenda inabidi ujitume tu. Kinachonitia nitie bidii n kuona mafanikio ya watu walio tia bidii kwa kazi zao. Ninachopenda kwa kazi angu n kuwa, ninaweza kufahamu mambo mengi sana yanayotendeka duniani na tena opportunity inapo kuwa napata iyo fursa.
Nashkuru MESHers wote kwa ideas mnazozitoa hutujenga sana. Ahsante.

0
0
0