
Kwa mtaa nimecheki wasee wa kuuza kahawa wanatesa. Leo nimepatana na beste yangu jonte yeye huuza kahawa na by 7:30 jioni stock ilikuwa imeisha na ameingiza profit ya 2k. Kitu nimelearn kwake ni lazma ujitume. Biz yako inaweza kaa small Kwa mwingine but mfuko yako ndio inajua
0
0
0