Kwa mtaa yangu young people wanapenda Formula 1 sana. Last month nili-set up screen mtaani wasee waone Live races.