Kwa Plot tunafanya Biz, Wamekata stima for One week. Kuenda Kwa Kenya Power tunaambiwa Bill ni 213k 😜. Yaani abnormal. Na hakuna mtu ana mashine kubwa.