
🙌Kwa session ya last week. Willy ali-cover topic ya Insurance.
👇Cheki benefits kadhaa za insurance kwa biz:
1.Ku-reduce financial loss in case of incidents or accidents.
2.Ina-make kupata credit au loans rahisi.
3.Ku-attract skilled and qualified employees because watakua protected.
- Ku-cover lawsuits ama kesi ikitokea.
👇Ongeza yako kwa comments.
0
0
0