
Kwa session ya leo on Jenga Na Deloitte, tulicheki kwa nini ku-track na ku-manage cashflow poa, ni important kwa biz.
Ukiwa na positive cashflow, jaribu ku-maintain na u-grow.
Ukiwa na negative cashflow....
- Usiwahi tense, learn from mistakes.
- Discipline muhimu sana,ku-get back on track. 3.Try kuwa na consistency, na business plan itafanya shugli ikue easier ku-track.
- Never give up
Nimesahau nini?

0
0
0