
Kwa wale meshers hawajakuwa na sisi leo tumewakilisha na info muhimu sana... topics zilikuwa Garlic and Chamomile Farming...Kaa. uko interested unaweza view posts zangu zote za leo iyo knowledge ni muhimu kwa sisi wote mayuts... Kuna wenye wanauliza venye wanaeza pata Chamomile Tea naomba mfike ibox ama mnipigie 0759914046....Tuonane kesho mapya mengi yamo njiani...Shukra sana!! #FormNiKujengana

0
0
0