
Kwa wale wako na physical business be aware of conmen going around this njaanuary!, don't ever allow any customer aweke simcard yake kwa simu yako ju maybe simu yake imeisha battery ama utoe sim card yako uweke kwa simu yake ndo aweze kulipia stuff zenye amebai,usikubali kuoshwa ka mm jana nimeoshwa 1800! Alafu pia ikiwezekana kuwa na simu yako karibu na ww when confirming mpesa messages, wengine hua wana edit messages then anakuonyesha amelipa!
0
0
0