
Kwa wale wanataka kuanzisha biashara na hujui uchague gani, kindly take this advice Ni heri uchukue biz yenye iko na consistent income flow even if it's less profitable than ile yenye iko na variable income. Nimeanza Rabbit farming na niko na vision kubwa sana ya kuEncourage maYouths kujua value ya rabbits kwa mtaa yangu +254714563801 for more business advice
0
0
0