
@ kwa wanamesh Tulete maoni hapa. Niaje wazito wangu wa mesh? Hii story ya covid 19 imeleta noma sana.sae ikiwa third wave imekuwa deadly sana.Nayo vaccine do hio inapeanwa in classes which sounds difference na huduma number.First vaccine directed to all civil servants.mwananchi wa kawaida do wa mwisho. Kama vijana mnaona round two ya vaccine vijana tutafikiwa kweli? Ata tukifikiwa mnaona gava itatuuzia ama itakuwa free Private hospital wanauza kwa mwananchi wa kawaida. Aki Kweli mnyonge hana ..
0
0
0