
Kwa wasee wanajua web development wanajua API key na it's use kwa kuleta reliability,most trading platforms husho msee aeke Mula yake kwa website zao which kwangu huwa red flag,veles inatumia hii system kutrade doh zako zikiwa finance na platforms zingine ka binance
0
0
0