Kwa wenye walifaulu kuingia kwa worldcoin Naona imeleta mini app ya Freelancers ,inajiita (WORK) you apply for the jobs ukiqualify utakuwa unalipwa in worldcoin ukimaliza kazi