
Kwa wote wamekuwa kwa DM yangu asanteni sana, maswali zimekuwa kibao na most zile nimeweza jibu nimejibu but kuhusu Mesh in large nilicheki nipoa ni ijibu hapa.
Swali ; mbona hakuna Mesh App, kama Meshers tumechoka na chrome log in.
Jibu; So soon we are gonna have a Mesh App, yenye haitakuwa expensive or data fast consuming considering hizi search engines hukula MBS mob na haraka coz tunalipia cookies na vitu mob.
Good News is BE READY FOR MESH APP SOON.
DJ B can confirm with me on this. #MeshApp #BongaNaKenbwoy
0
0
0