
Kwangu mesh ni group muhimu I do thank God for. Mesh inanijenga na mawaitha fiti mbaya sana. Atleast naelewa biz ni nn na naezaiendelesha vipi. The most important wametuunganisha na ENEZA , organization considerate sana kwetu kama youths ju inatujenge loans at a very affordable interest rate. Atleast huku vijana tunaimaraka. I salute the organizer...manze mnatusaidia saana.
0
0
0