Kwanza ajue buying price ya hizo vitu ndio asiuze loss. Afanye research ya market price online ama the other shops. Anezaangaalia pia kwa supermarket iko karibu.