Kwanza angalia place umesate duka Yako alafu jua wase wa hapo wako aje financial then ndio ulete stocks zako ama kama umesate place kama tao ivi weka price to be fair example kama ni shampoo umebuy 100 bob then sell it to 150-200 depending on the customer
0
0
0