
Kwanza, asomanishe the kind of clients that are there ndiyo aweze Ku determine price rates, quality and quantity that ataweka,,,branding muhimu coz inakuuza from a far, so atengeneze sticker kubwa kiasi branded with the name of his business and the products that he sales that ita capture attention ya watu , aweke kwa kibao na asimamishe hapo kando... lastly awe consistent na good customer relation, ajue kuzungumza na customers nicely, awape best service bila kusahau usafi wake na wa bidhaa zake
0
0
0