
Kwanza first rule ya biz ni aty the customer is always right ✅ ata akue rude aje you have to act calm ndo pia yeye ataget that kasense ya kukuskiza😃 another ni aty you have to be friendly kwa customers depending na age bracket na age💪 different audience manzee lazima ujue kuwahandle vifity then ukue na environment poa penye customers watafeel wako safe ⚡

0
0
0