
Kwanza hiyo ni idea poa sana kama hustler Dennis. Before uanze biz unafaa kukua umeandika your whole plan.
- Place of rent unahitaji ni ya pesa ngapi? Let's say your budget ni 5k per month, utaadd another 5k for deposit na pia ueke starting ya tokens(stima 1k) =11,000kshs.
- Incase upate place of rent but haina shelfs na unaziihitaji but this is optional itabidi ukue na like possibly 5k ya mbao plus labor ya kuzieka.
- Tunaenda kwa jiko, unaeza opt for jiko okoa juu huwa inasave moto then uadd gas for other easy foods like chai hii itakucost about 8k.
- Kubuy vyombo za kukula, mostly watu hutumia plastics juu huwa si rahisi zivunjike which makes you avoid many loses , plastics hukua cheap sana kuna hata watu huziuza from as cheap as 20bob. So tuseme you're buying 30 cups plus 30 plates which is1,200kshs, uongeze masufuria na other vyombo which can come upto maybe 3k. That is a total of 4, 200kshs.
- Unafaa kumake sure ukianza hii biz unaanza na stock, so ubuy unga za chapo which can also act za mandazi na pia pancakes and other several foods zinatumia dough, usijilimkt kwa vitu unapika na ukue creative hii inaeza kucost 2k, then unga ya ugali pia 2k plus sukari, chumvi na other viungo kama mafuta ya kupika which can go upto 5k in total.
- Other miscalleneous kama nyanya , vitungu and other small things zinaeza kucost upto 2k. This brings a total of 40,000kshs.
0
0
0