
Kwanza kabisa entrepreneur/business ideas/saving nimeweza kujua vyenye nitasave na also keeping records 2) loans and credit knowledge 3) agribusiness hapo unaeza share idea na kugain ideas juu ya kilimo biashara 4)jengwa na advice hapo unafaidika na advice na pia Iko na chance ya kusaidia mwengine wenye wanajiunga nabiz Ili wajiajiri pia
0
0
0