
Kwanza kabisa nitainform wasee umuhimu wa mesh in every place I find my self in, kwa class, movie shops, kwa matatu, groups za whatsapp hadi church. Nitawashow vile msee anaeza share business idea yake na MESH and stand a chance to get a start up cash.
Nitaexplain more about vile wasee wanaeza drop their profession kwa MESH and be linked jobs relating to their area of specialization.
Nitacreate awareness kuhusu MESH na vile one can get business ideas na vile anaeza implement hio idea ikue bizna real.
Nitawafunza vile MESH iko simple to understand na vile ni easy kuregister na MESH na kujua vile msee hutumia MESH. Hii itasaidia pia nao waengage marafiki kujoin wapate benefits.
Since mtu anaeza create groups ama a join group ya choice yake, nitawashow vile ni simple kucreate such groups na vile through them watalink up na employers. Hii itasaidia kudiversify opportunities.
Nitacome up na chama ya kuchanga doo na kusaidia wasee time wako down. Nitatumia jina MESH WONDERS ndio pia wale ambao hawajui MESH habari iwafikie.