
Kwanza kabisa unaexercise PATIENCE na customer wako akikueleza vile anadai umjenge na products. THEN, unamjenga na ACCURATE INFO ya kile anataka ndio usimpige chenga. ALAFU, muhimu sana unakuwa ATTENTIVE na zile small small explanations anapeana ndio upate actually anadai product inakaa aje FINALLY, lazima kama muuzaji ukuwe PROACTIVE kwa kujua clients wako huwa wanadai Nini, kitu gani mpya iko kwa market, trend gani inaweza kunywa macustomer wako anytime.
#brayo wa demio
communication Tips
0
0
0