
Kwanza kabisa wasee lazima tuelewe customer retention ni nn. Customer retention ni activities kibao bzna inatumia kuongeza the number of repeat a customer anatembela shop and to increase the profitability of each existing customer. Kwangu hi sio ngumu na kwako kama mwanabiashara inafaa ikwe rahisi zaidi. So Wana bzna la kwanza ;
- Weka mteja akwe rafiki yako_ yaani atakama shida imekubana ile mbaya usimkasirikie customer wako, jaribu kuchangamka morio.Hivyo kesho atatamani kurudi.
- Jenga trust na customer wako_ usiasium customer kuwa customer akinunua kwako kilasiku anakutrust, pengine hanatu choice. Trust huchukua time kubuild but ikiwa sure bet, aki mteja atakuwa wako ile mbaya
- Jaribu sana uimpliment customer feedback loop_ kwakusema ukweli ni ngumu kumaintain customer kama you don't know how they feel about your bzna. Atleast watafute ujue hisia yao ju itakusaidia in collecting, analysing and distributing customer reviews. Finally kama mwana biz ensure emotional bonding with your customers. Yaani mteja akwe anakufeel mbaya, ile yenye ukifunga akukose anaboeka. These way a customer can wait for you. Let's retain our customers at all costs. Mbele daima.
0
0
0