
Kwanza make sure account yako iko well secured kuavoid scammers kuitumia baadae. Kama uko na biz yako ama ile skills zako flani kama voice overs, dancing, acting,ama anything unado na unaona unaweza tumia kuturn into doh anza kupost kwa hio account yako. Once umeanza kupata comments,shares na likes za followers wako,zidi kujituma zaidi,usikose kupost all the time. Response kwa comment za #followers ni kitu moja fty sana coz itasaidia hao wasee kuona unafuatilia kila kitu on your post. Once content yako imeanza kureach a larger Audience, unaweza monitize hio account sasa in that the more wasee wanacheky na kucomment kwa posts zako ndio the more unapata doh from Meta, Then kama itafika place uone like you need a lot of time kwenda kwa grao kufanya content hapo itabidi utafte msee atakuwa anacontrol account yako kama your account #manager