
Kwanza make sure products zako ziko set, zipige picha na ukuwe unazipost kwa hiyo page bila price ukiquote affordable price, mwenye anataka akuinbox. Watu watazimaliza before you even know it. Thank me later. Kumbuka unaeza uza hadi service but make sure usiinclude price yako kwa post TAFADHALI. Hii ni kwamana mtu akiona interested person anaeza kunyanganya customer na cheaper price than yours. Your customer ni your privacy na vile mmeskizana pia ni private. Make more or less hiyo ni siri yako.
0
0
0