
Kwanzia ni join mesh aky sijawahi kosa kuweka bundles kwa simu ju each and everytime bundles zikiisha huwa na panic ju naona nitapitwa na ma article muhimu za my fellow entrepreneurs na kusema ukwely##mesh community iko na wasee wa nguvu na pia kuna testimonies za nguvu.alafu sema ideas kali kali zenye zinanijenga mimi kibinafsi na pia nina put hzo ideas kwa bizna na bizna imeanza ku pick kiac.kitu nyengine ni kuna loans za ku help bizna za members na loan hzo zimesaidia watu wengi#SisiNiMESH
0
0
0