
🔥KYC registrations in crypto..... 🤔
💡Hii ni form vijanaa wanakulia hapa nje, it pretty common this days but kuna division ya wasee wanafeel ni scam na wengine wanafeel ni path legit ya kumake dooh...what do you guys think?
💡Mesher mkona experience na hizi form za KYC mnaeza tuchanua experience yenu imekuwa ajii so far.... acha tulearn from you guys...ndio wasee wachangamke kama ni form inaeza leta kakitu 💯
0
0
0