
LABOUR DAY MANZE – TUAMKE TUJIBAMBE NA HEADSPACE PIA
Leo ni Labour Day, na tunasherehekea wasee wote wana grind daily. But vile mambo zimechemka – MP Charles Ong’ondo Were kupigwa risasi Ngong Road na Blood Parliament ya BBC ikitoka – inatubamba different. Pressure iko juu, si kwa wanasiasa tu, hata kwa mtoi wa mtaa anahustle daily.
Gava ikikatakata payslip, job stress, na politics za uoga – akili huanza kulia kimoyomoyo. Leo, tusimame tuseme: afya ya akili ni muhimu kama salary. Tucheki na mabeshte zetu, na tujibambe bila kusahau kujijali upstairs.
Mental health si luxury, ni basic need.
0
0
0