
Ladies ladies ladies. Girl Dem hi. On social media TikTok, Facebook, does it mean ukivaa nguo mbaya mbaya tu na u dance ndo uta earn pesa from social media?? No! Aki now days unaogopa tu kuingia TikTok because vitu zinakuwa posted huko. Tamaduni na desturi zetu za kiafrika znaenda wapi😐. Girl child Helloo!

0
0
0