Ladies ushawai enda kuchorwa permanent eyebrows alafu ukafanyiwa miujiza kwa uso 😂😂😂 let's share our experiences kwa comments section ama what you would have done kama ingekua wewe