Lakini bado hatukomi tunaskia pressure, lakini tunaapply pressure pia! Whether uko kwa biashara ya online, interior design, photography, tech ama jua kali wewe ni shujaa