
Lakini hii biz yetu mbona uende kazi na attitude? Wadau kwa hii industry yetu ama kwa biz yoyote what you must know ni a customer is always right, saa engine client anaweza kupima Imani Sana but still wewe vumilia tuu juu wewe ndio unataka hio pesa . Do you have any experience umewai kua treated vibaya na client ama the seller? Let's share our experiences kwa inbox
0
0
0