
Lakini hii niko sure photographers huudhika client akiadd filters after they have professionally edited and retouched their photos. Yaani client anaongeza ukarabati after you edited professionally, worse still, anaupload kwa social media ikiwa na watermark ya your brand. But nimejiuliza hizi options mbili:-
- Ni client hayuko satisfied?
- Ama ni photographer ame edit vibaya? Help out you my guys...

0
0
0