
Lakini honestly, pranks ni the same as content creation? Ju saa zingine mi huona they ain't necessary na zinapea wasee undue emotional stress, potential economic loss, embarassment, and unintended physical harm. Kuna pranks zingine zinazidi sana. Ama wakisha'apoligize ni hivo? Mi naonanga wanaeza enda kuprank msee ako na stress zake alafu waingiwe mabare na mangumi buana. So risky. Ebu mnishow kama ni something msee anaeza fanya?


0
0
0