
Lakini kuna good content creators wanachapa kazi safi hadi unatii. Yaani content iko tops na wako na consistency. Very nice. This is what keeps the entertainment industry keep going. Lakini they are few sana. Shida ni wale wengine wakuchase clout. Ama ndio msee akitaka kupenya lazima aweke clout kiasi? Ju mi sielewi buana. Skuizi kwa creative industry inakaa imekuwa na compee hadi, ndo skits zako ama ngoma zako zihit, lazima msee aclout chase. Imekua ni kama Kenya main stream media is as good as dead saa zingine mi hujiuliza hizi ni nini. Clout chasers are insecure humans with no natural creativity bana. Ebu niambieni kama clout hua inapush msee some few miles ahead wasee #MeshCreativez

0
0
0