
Lakini kuna kitu mi husema inaitwa Lucky Star. Once ikishaa align with you ni hivo. Ni venye wengi hugive up when vitu haziwork accordingly. Content creators wengi wanaanza vipoa then wanagive up. Unacheki the Priscilla Waimani aliget job kimchezo tu. Sahii ni ambassador. She just had the balls to do something unique in her own way and nature rewarded her!! Akina Ugali Man na Githeri Man too, Nature just played its part. Though unaeza kua unlucky like the Gachagua Immitator, ama the Nduru Man, but usiseme uko unlucky bana. Keep pushing you never know. Ama nyi wasee mnachukulia hii story aje, ama gender pia inaplay part mahali?



0
0
0