
Lakini kuna some meme peddlers and makers hunishangaza sana buana. Msee hadi anaweka watermark kwa memes unajiuliza kwani memes zinalipa? Ama ni mi sijui. Mi huogopa sharing hizo memes kwa status pale green app ju watu watasema mimi ni unemployed lazy youth, but honestly I appreciate the creativity behind them. So how can we advise meme peddlers? Waache kuitwa unemployed youth?

0
0
0