
Lakini mbona bei ya bidhaa mingi huwa cheap in Uganda compared to Kenya wadau? Inasemekana demand ya mayai iko juu in Uganda na hii inaumizi wafanyi biashara kwa boarder ya Kenya na Uganda pale Busia juu customers wana-prefer kuendea mayai Uganda. (Credits : Daily Nation Kenya) #ShujaazBiz
0
0
0