Lakini mbona motorbikes za loan uibwa frequently?
Kuna hii issue ilitokea pande ya Ruiru ,client aliibiwa bike then later akaipata iko kwa kampuni ilimpea on loan!!!
So its like wenye wanakupea bike ndio wanakuimbia bana😢😢😢
0