
Lakini mimi niko na kiulizo, venye dynamics za modeling na photography zimeanza kuchange, mnapushaje? Nowadays models wako deeper kwa creative process, ideas nini nini, alafu na photographers sasa ni kama directors, unapata roles zimeblend na hizi switch ups zinachanganya buana.

0
0
0