
Lakini nayo kuna time unajipatanga huna psyche ya kufanya anything, you are good in making YouTube videos, drawing and painting, songwriting, ama making music but sasa hujifeel, uko uko tu. Hii ndio wataalamu wanaita creative block. Lazima kila msee akue ako na haka ka experience one time💡🎨. Well nikama niko hio stage my guys. Nyinyi hufanya nini mkiwa na hii creative block? Naskia nafaa sijui nature walks, ama nichange environment, na nieke small small goals. Ama nianze tu self care, ama nitafute inspiration from you fellow creatives, jameni nisaidieni I want to break free✨

0
0
0