
Lakini nayo stand up comedy hua haitaki weak humans. Unaeza perfom ukue cancelled by people ugive up ukue mkulima. Lakini wacha niwapee some tips I have been researching about this craft, from Shitemi to you upcoming Stand up comedians, I present these tips🔥🔥.
- Analyze performance ya established comedians, venye wanadeliver, timing etc but usiwqcopy 2.Engage audience yako buana mkue na connection, isikue kama ni lecture hall
- Jipromote msee bana. Social media sahii unaeza hit ukue na cult like following if you utilise it well
- Seek feedback ya your friends, fellow comedians uone ni wapi uko na kasoro 5.Network and collaborate na wasee in your industry. Hao ndio watakua wanakuskumia gigs and opportunities.
- Finally develope your unique and comedic way of delivering them jokes. Mnaeza add nini my guys kwa hii list??

0
0
0