"Lakini niko na bank statement..." 😅
Hiyo ndio story ya Avery Restaurant Nairobi.
Bank statements zilikuwepo.
Lakini records za kueleza hizo deposits hazikuwepo.
Na mwisho wake, wakapata tax assessment ya KSh 92.7 million. 😬
Lesson?
Bank statement inaonyesha pesa iliingia.
Haielezi iliingia ya nini.
Sale?
Loan?
Transfer kutoka kwa owner?
Hiyo ni kazi ya records zako.
Ju biashara si tu kuhusu kupata pesa.
Ni kuweza kueleza ilitoka na ilienda wapi.
Wewe records zako zinaweza kujitetea KRA ikibisha leo? 👇
0
0
0