
Lakini Nowadays content creators huprefer either Youtube ama Tik Tok. Both ziko na good advantages za monetization though Tik Tok ilianza its monetization 2018 hapo so iko in phases za development. Uzuri ni both sites zinakupea good exposure ya kupata gigs kadhaa za influencing. So according to you unaeza prefer which site kama unataka kupenya kama content creator?
A. Youtube B. Tik Tok

0
0
0