Lakini saa zingine watu wa photoshop wanaeza kukushtua bana. Imagine mathe ya huyu mtoi ametulia tu anaamua kuitisha pics za mtoi acheki, then anatumiwa such photos. Mi naeza faint 😂